Page 1 of 1

Tumia data vizuri

Posted: Thu Apr 02, 2026 8:27 am
by webmaster
  • Zima background data kwa apps zisizo muhimu
  • Tumia Wi-Fi pale inapowezekana
  • Pakua video au muziki ukiwa kwenye Wi-Fi
  • Tumia data saver mode