MAFUNZO YA USALAMA WA MTANDAO KWA WAFANYAKAZI
Posted: Sun Mar 29, 2026 4:21 pm
Tunayo heshima kuwajulisha kuhusu uwepo wa mafunzo ya Usalama wa Mtandao (Cybersecurity) yatakayofanyika kwa njia ya mtandao kupitia Google Meet.
Mafunzo haya yameandaliwa mahsusi kwa ajili ya taasisi ili kuwajengea wafanyakazi uwezo wa kulinda taarifa, mifumo, na miundombinu ya TEHAMA dhidi ya vitisho vinavyoendelea kuongezeka katika mazingira ya kidijitali.
Mafunzo yataendeshwa kwa muda wa miezi mitatu, siku moja kwa wiki, kwa masaa matatu kwa kila kipindi.
Tunakukaribisha wewe na taasisi yako kuzingatia kushiriki katika mafunzo haya muhimu kwa lengo la kuimarisha usalama wa taarifa na kuongeza ufanisi wa matumizi ya mifumo ya kidijitali.
Imarisha Usalama wa taarifa.
MAMBO MUHIMU
1. Ukifanya usajili na kulipa ada mapema utapata punguzo 20%
2. Kwa wanafunzi wa MIA & IOU kupata punguzo la 50% (i.e. Ukiwa utafanya maombi mapema utapata punguzo mara mbili yaani PUNGUZO LA 20% BAADA YA PUNGUZO LA 50%
3. Fanya usajili leo, kisha fanya malipo kabla ya tarehe ya mwisho ya punguzo ili kupata punguzo la 20%.
4. Baada ya kupita muda wa punguzo utalipa ada kamili isipokuwa wanafunzi wa MIA & IOU wataendelea kupata punguzo la 50% bila ya 20%
5. Anuani rasmi ya kujisajili ni https://forms.gle/g6eoeRieUKytrtDa8
ANGALIZO
ADA YA MAFUNZO: Inaenda kutumika kusaidia wanafunzi kupata ufadhili na huduma nyingine za kijamii