Page 1 of 1

How to write Assignments and Thesis

Posted: Mon Mar 23, 2026 3:24 pm
by webmaster
*Video 6: How to write Assignments and Thesis*
*Maelezo:* Kama msomi, moja ya *kipimo cha usomi wako* ni katika uandishi wako. Utajifunza jinsi ya kuandika *assignment* na mambo muhimu ya kuzingatia n.k
Lugha: *English*
Click here: https://www.youtube.com/watch?v=wSHdeaSPLcY


*Video 7: How to write the *Arabic Assignment*
*Maelezo:* Kama msomi, moja ya *kipimo cha usomi wako* ni katika uandishi wako. Utajifunza jinsi ya kuandika *assignment* na mambo muhimu ya kuzingatia n.k
Lugha: *Arabic & English*
Click here: https://www.youtube.com/watch?v=NRiHjgIvZbU

*Video 11: Assignment Writing Guidelines*
*Maelezo:* Video hii inakuelekeza jinsi gani utaweza kufanya maandalizi kwa assignment, tips za jinsi gani utaandaa assignment kwa *ubora*, mambo gani hutakiwi kufanya wakati ukiandaa assignment yako n.k
Lugha: *English*
Click here: https://www.youtube.com/watch?v=NchGRZuhsKo


*Video 12: HOW TO SUBMIT AN ASSIGNMENT*
*Maelezo:* Video hizi inakuelekeza jinsi gani utaweza kutuma *assignment* yako kwenye mfumo.
Lugha: *Kiswahili*
Click here for *version 1*: https://youtu.be/wZwVswFT-eE
Click here for *version 2*: https://youtu.be/Ag0C5kaN8r8