*TUTORIALS FOR FRESHMEN*
*Video 1: Getting Ready*
*Maelezo:* Video hii inakuelezea mambo muhimu/software/vifaa vya kusomea ambavyo unalazimika kuwa navyo kwa kipindi chote cha masomo.
Hivyo tunawashauri wanafunzi wazingatie kwa makini.
Lugha: *English*
Click here: https://www.youtube.com/watch?v=5r9VNMZoh70
*Video 2: Planning Studies How To Tutorials*
*Maelezo:* Video hii inakusaidia kupanga ratiba ili upate wepesi kipindi chote cha masomo yako.
Lugha: *English*
Click here: https://www.youtube.com/watch?v=1nC4s4gbYVU
*Video 3: Coping with challenges of studying online*
*Maelezo:* Kusoma kwa njia ya elimu masafa inaweza kuwa nyepesi au ngumu kulingana na vile utakavyoichulia ! Hivyo basi ikiwa utapata changamoto. Hapa utafunzwa jinsi ya kukabiliana na changamoto.
Lugha: *English*
Click here: https://www.youtube.com/watch?v=CPtvyXPi8i0
*Video 4: Managing Your Time How To Tutorials*
*Maelezo:* Kumbuka *Wakati* ni moja ya rasilimali muhimu katika uhai wako, katika Nyanja zote za kimaisha ya dunia na akhera. Vile vile kusoma kwa Elimu Masafa inakubidi utumie vyema muda wako. Ili umalize kwa wakati.
Lugha: *English*
Click here: https://www.youtube.com/watch?v=PzUD40w-cOQ
*Video 5: How to Study How To Tutorials*
*Maelezo:* Ili uweze kusoma kwa chuo chetu ni lazma ufahamu mambo muhimu yaliomo katika mfumo wetu, utajifunza jinsi ya kuingia kwenye mfumo, jinsi ya kujisomea, kushiriki mijadala mtandaoni, n.k
Lugha: *English*
Click here: https://www.youtube.com/watch?v=WrHKNj4GMfY
*Video 6: How to write Assignments and Thesis*
*Maelezo:* Kama msomi, moja ya *kipimo cha usomi wako* ni katika uandishi wako. Utajifunza jinsi ya kuandika *assignment* na mambo muhimu ya kuzingatia n.k
Lugha: *English*
Click here: https://www.youtube.com/watch?v=wSHdeaSPLcY
*Video 7: How to write the *Arabic Assignment*
*Maelezo:* Kama msomi, moja ya *kipimo cha usomi wako* ni katika uandishi wako. Utajifunza jinsi ya kuandika *assignment* na mambo muhimu ya kuzingatia n.k
Lugha: *Arabic & English*
Click here: https://www.youtube.com/watch?v=NRiHjgIvZbU
*Video 8: How to Reset Module Test*
*Maelezo:* Video hii inakuelekeza jinsi gani uta-reset module test yako wewe mwenyewe yaani *self-services* au *#Do-it-yourself*
Lugha: *Kiswahili*
Click here: https://youtu.be/acOFmtxigMU
*Video 9: How to register Exam Center*
*Maelezo:* Video hii inakuelekeza jinsi ya kusajili kituo cha mitihani. wewe mwenyewe yaani *self-services* au *#Do-it-yourself*
Lugha: *Kiswahili*
Click here: https://youtu.be/vMXii0lyeEc
*Video 10: Preparing for Final Exams*
*Maelezo:* Video hii inakuelekeza jinsi gani utaweza kufanya maandalizi kwa ajili ya mitihani ya kumaliza semester (FINAL EXAMS)
Lugha: *English*
Click here: https://youtu.be/Ere3YLK_u5A
*Video 11: Assignment Writing Guidelines*
*Maelezo:* Video hii inakuelekeza jinsi gani utaweza kufanya maandalizi kwa assignment, tips za jinsi gani utaandaa assignment kwa *ubora*, mambo gani hutakiwi kufanya wakati ukiandaa assignment yako n.k
Lugha: *English*
Click here: https://www.youtube.com/watch?v=NchGRZuhsKo
*Video 12: HOW TO SUBMIT AN ASSIGNMENT*
*Maelezo:* Video hizi inakuelekeza jinsi gani utaweza kutuma *assignment* yako kwenye mfumo.
Lugha: *Kiswahili*
Click here for *version 1*: https://youtu.be/wZwVswFT-eE
Click here for *version 2*: https://youtu.be/Ag0C5kaN8r8
*Video 13: HOW TO ENROLL YOUR COURSES*
*Maelezo:* Video hizi inakuelekeza jinsi gani utaweza kusajili masomo yako kwenye mfumo.
Lugha: *English*
Click here: https://www.youtube.com/watch?v=D0fzcYPWhI8
Lugha: *Kiswahili*
Click here: https://youtu.be/Y5t_ov96fE0
*Video 14: HOW TO FIND YOUR ASSIGNMENT ON IOU CAMPUS*
*Maelezo:* Video hiii inakuelekeza jinsi gani utaweza kuzipata assigment za kila somo kwenye mfumo wa IOU yaani IOU Campus.
Lugha: *Kiswahili*
Click here: https://youtu.be/9t5WUmiaisA
IMETOLEWA NA:
*International Relation Officer*,
*The President’s Office & International Affairs*,
*E-mail*: IRO@moyoislamic.academy
*WhatsApp Number*: +255 766 061270
*TUTORIALS FOR FRESHMEN*
- webmaster
- Site Admin
- Posts: 124
- Joined: Mon Mar 23, 2026 11:03 am
- Location: Pemba
- Contact:
Return to “TUTORIALS FOR FRESHMEN/MUONGOZO KWA WANAFUNZI WAPYA”
Jump to
- General
- ↳ Your first forum
- Programming & Development
- ↳ Web Development
- ↳ Mobile App Development
- ↳ Backend Development
- ↳ Frameworks & Libraries
- Networking & Internet
- ↳ Network setup (LAN, WAN)
- ↳ Cybersecurity basics
- ↳ Internet troubleshooting
- ↳ Server management
- Tech Support (Msaada wa Kiufundi)
- ↳ Computer troubleshooting
- ↳ Software issues
- ↳ Hardware problems
- ↳ “Help me fix this”
- Simu & Gadgets
- ↳ Android phones
- ↳ iPhone
- ↳ Reviews za vifaa (laptops, accessories)
- ↳ Tips & tricks
- Emerging Technologies
- ↳ Artificial Intelligence (AI)
- ↳ Machine Learning
- ↳ Blockchain & Cryptocurrency
- ↳ Internet of Things (IoT)
- Learning & Resources
- ↳ Tutorials
- ↳ Free courses & books
- ↳ Coding challenges
- ↳ Career advice (CV, interviews)
- ↳ Nafasi za kazi (IT jobs)
- ↳ Freelancing
- ↳ Internships
- Community Lounge
- ↳ General discussion (off-topic)
- ↳ Tech news
- ↳ Events & meetups
- Local Tech
- ↳ Tech Tanzania
- ↳ Startups za Tanzania
- ↳ Internet providers (reviews & experience)
- ↳ Local opportunities
- International Open University
- ↳ TUTORIALS FOR FRESHMEN/MUONGOZO KWA WANAFUNZI WAPYA
- ↳ IOU Campus
- ↳ Accreditation/Kutambulika kwa chuo
- Psychology
- ↳ Clinical Psychology / Saikolojia ya Kliniki
- ↳ Industrial-Organizational Psychology / Saikolojia ya Viwanda na Shirika (Kazi)
- ↳ Educational Psychology / Saikolojia ya Elimu
- Ask Sheikh / Muulize Sheikh
- ↳ Masuala ya Kisasa na Teknolojia
- ↳ Mapendekezo na Maoni ya Forum
- ↳ Mawazo ya kuboresha forum
- ↳ Aqeedah (Itikadi)
- ↳ Fiqh ya Ibada
- ↳ Fiqh ya Familia
- ↳ Fiqh ya Muamala
- ↳ Qur'an na Tafsiri
- ↳ Hadith na Sunnah
- ↳ Fatwa na Maswali ya Kila Siku
- ↳ Dawah na Akhlaq
- ↳ Vijana na Elimu
- ↳ Wanawake katika Uislamu
- ↳ Historia ya Uislamu
Who is online
Users browsing this forum: No registered users and 0 guests