Page 1 of 1

Online Radio Station

Posted: Wed Mar 25, 2026 11:18 am
by webmaster
Kwa mara ya kwanza kiswani Pemba wameanzisha radio inayorusha matangazo yake mtandaoni kwa kupitia mifumo ya kisasa, In Shaa Allah kwa rehma zake Allah itakuwa ni chachu ya maendeleo na kufungua fursa za Ajira kwa wanajamii wake.

Unaweza kusikiliza Radio kwa kupitia kiungo hiki http://www.pembaliveradio.online/live/