Kwa wanafunzi wa IOU Tanzania tunakaribisha bunifu za kutengeneza App itakayoleta manufaa kwa ummah. Kwa mfano app ya kukokotoa zakkat, Madrasa Management system n.k.
Ukishatengeneza app yako iweke kwenye Google play store au app store, Kisha utashare kwa ku- reply post hii na kuweka direct link ambayo watu wataweza ku download app yako Ili kuitest ikifaulu utaingia kwenye shindano letu rasmi.
ANGALIZO
1. App yako isiwe na matangazo wala bugs
2. Isiwe Kazi ya mtu mwengine
3. Usitumie AI katika kutengeneza App hiyo.
4. Vigezo na masharti kuzingatiwa in Shaa Allah
Ubunifu
- webmaster
- Site Admin
- Posts: 124
- Joined: Mon Mar 23, 2026 11:03 am
- Location: Pemba
- Contact:
- webmaster
- Site Admin
- Posts: 124
- Joined: Mon Mar 23, 2026 11:03 am
- Location: Pemba
- Contact:
Re: Ubunifu
Pia kama kuna yoyote ataweza kutengeneza app ya usafari kwa gharama nafuu, ambayo itawawezesha wateja kuita usafiri kwa gharama nafuu na kutumia kipa pembe ya kisiwa cha Pemba
Who is online
Users browsing this forum: No registered users and 0 guests