Uraibu wa skrini
Posted: Fri Sep 25, 2026 10:27 am
Uraibu wa Skrini: Skrini Zinapouiba Moyo https://quran.com/learning-plans/uraibu ... ouiba-moyo.
Iwe unajikuta ukipitia skrini bila kikomo, kutazama bila kupumzika, au unapata ugumu wa kudumisha umakini, mpango huu unakualika kuishi kwa kusudi badala ya uzembe, na kwa umakinifu badala ya kuvurugwa. Muda wako ni maisha yako, na ni fursa ya kujiandaa kwa Akhera — jifunze jinsi ya kuuhifadhi. Mwenyezi Mungu atujalie tujifunze, tutende, na tushirikishe wengine mafunzo haya. Amina.
Mada zitakazojadiliwa:
Athari za kiroho za uraibu wa skrini
Uwajibikaji juu ya muda, macho, masikio, na moyo
Mipaka, kiasi, na mizani katika zama za vifaa vya kidijitali
Kujitenga na kelele za kidijitali kupitia dhikri, dua, na tafakuri ya kweli na kusudi juu ya neema za Mwenyezi Mungu.
Jinsi ya kuishi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, si kwa ajili ya algorithimu (mpangilio wa kanuni za kompyuta unaoamua nini uone mtandaoni).
Je, uko tayari kurejesha muda wako na kuulinda moyo wako dhidi ya mzigo wa kidijitali? Anza leo, na acha skrini iwe mtumishi wa roho yako — si mwizi wa utulivu wako.
Jifunze kupitia link hii
Uraibu wa Skrini: Skrini Zinapouiba Moyo https://quran.com/learning-plans/uraibu ... ouiba-moyo
Source: Quran.com