SQL WITH MYSQL WORKBENCH PART ONE - KISWAHILI
Posted: Wed Sep 23, 2026 11:42 am
SQL (Structured Query Language) ni programming language ambayo tunatumia kwa ajili ya kanzidata yenye mpangilio mahususi (structured database).
MYSQL WorkBench ni mfumo wa kusimamia kanzidata (DBMS - Database Management System) ambao hutumia SQL katika usimamizi wa data.
Katika mkusanyiko wa darasa hizi, hatusoma nadharia (theory) na badala yake tutafanya kazi za vitendo (practice) moja kwa moja. Tutaongelea theory pale tu panapobidi.
1. Kuingiza (Installing) MYSQL Workbench.
Download mysql workbench kupitia link hii https://dev.mysql.com/downloads.
Unaweza kupata maelezo ya namna ya kudownload na kuingiz akupita https://zenjicloud.com/publicfiles/mysql_workbech.pdf
2. Kuangalia databases.
Iwapo hakuna query box yoyote iliyopo wazi, bonye +sql ili kufungua sehemu ya query ambapo tutaitumia kuandika sql query zetu.
[imghttps://www.moyoislamic.academy/tsv/download/fi ... view&id=27][/img]
kisha andika
Hii itatupa orodha ya database zote zilizomo katika mfumo wa mysql workbench. Hatutatumia database hizo isipokuwa tutatengeneza database ya kwetu.
3. Kutengeneza Database.
tunatumia neno CREATE DATABASE ikifuatiwa na jina la database. Tutatengeneza database na kulipa jina la school. Kisha tuangalie list ya database zote kwa show databases na tutaona database ikiwe imetengenezwa.
MATOKEO YAKE NI

4. Kutumia database.
Kutumia database tunatumia "use" mfano
Hii itafanya database tunayofanyia kazi kwa sasa kuwa school (ACTIVE DATABASE)
5. KUONA/KUJUA ACTIVE DATABASE
Ili kujua ni table ipi ipo active, unatumia
Kwa vile tulitumia USE school, active database yetu ni school kwa sasa.
ITAENDELEA SEHEMU YA PILI
MYSQL WorkBench ni mfumo wa kusimamia kanzidata (DBMS - Database Management System) ambao hutumia SQL katika usimamizi wa data.
Katika mkusanyiko wa darasa hizi, hatusoma nadharia (theory) na badala yake tutafanya kazi za vitendo (practice) moja kwa moja. Tutaongelea theory pale tu panapobidi.
1. Kuingiza (Installing) MYSQL Workbench.
Download mysql workbench kupitia link hii https://dev.mysql.com/downloads.
Unaweza kupata maelezo ya namna ya kudownload na kuingiz akupita https://zenjicloud.com/publicfiles/mysql_workbech.pdf
2. Kuangalia databases.
Iwapo hakuna query box yoyote iliyopo wazi, bonye +sql ili kufungua sehemu ya query ambapo tutaitumia kuandika sql query zetu.
[imghttps://www.moyoislamic.academy/tsv/download/fi ... view&id=27][/img]
kisha andika
Code: Select all
SHOW DATABASES3. Kutengeneza Database.
tunatumia neno CREATE DATABASE ikifuatiwa na jina la database. Tutatengeneza database na kulipa jina la school. Kisha tuangalie list ya database zote kwa show databases na tutaona database ikiwe imetengenezwa.
Code: Select all
CREATE DATABASE school;
SHOW DATABASES
4. Kutumia database.
Kutumia database tunatumia "use" mfano
Code: Select all
USE school;
5. KUONA/KUJUA ACTIVE DATABASE
Ili kujua ni table ipi ipo active, unatumia
Code: Select all
SELECT DATABASE();Code: Select all
https://www.moyoislamic.academy/tsv/download/file.php?mode=view&id=29ITAENDELEA SEHEMU YA PILI