Page 1 of 1

MAJINA YA MISIKITI

Posted: Thu Sep 17, 2026 2:41 pm
by webmaster
Kuna swali liliulizwa: Jee inafaa kuupa msikiti jina la mtu aidha aliujenga au mtu kumjengea marehemu kama ni sehemu ya sadaqa yenye kuendelea ?