LEARN PHP PART TWO (ARRAYS) - KISWAHILI
Posted: Mon Sep 14, 2026 1:12 pm
Array inatumika pale tunapokuwa na data zinazofana, badala ya kutengeneza variable kwa kila data moja, tunatengeza array ambayo itahifadhi data zote kwa pamoja. mfano badala ya
tunaweza kuweka varaible zote hizo kwenye variable moja, array
hii inatupa mpangilio mzuri wa kodi zetu, pia inarahisisha wakati wa kuita data kama ambavyo tutaona hapo baadae.
kuna njia mbili za kutengeneza array
ya kwanza, ambayo ni ya kisasa ni kama ambayo tumeitumia hapo juu.
la kuzingatia ni kwamba taarifa zinakaa ndani ya mabano ya pembe nne [ ], data hutofautishwa na data nyingine kwa kutumia comma ,
Kuhusu matumizi ya tunapokuwa na maandishi, maandishi yanakuwa yanafungwa ndani ya double quotation " na ", ama hata quotation ya appostrophe inakubalika yaani ' na '. Nambari na kweli si kweli haziwekwi ndani ya alama hizo.
mfano
sio vizuri kuweka data tofauti kwenye array aina hii. Tutaona aina za array ambazo zinaweza kubeba data aina tofautitofauti bila kuatihiri matumizi
Njia nyengine tunayoweza kutumia kutengeneza array ni ya kizamani, na mfumo wake ni kama huu.
mjia zote mbili zinafanyakazi, lakini njia ya kwanza inapendekezwa zaidi.
KUSOMA TAARIFA ZA ARRAY
Aina ya array ambayo tumeisoma inaitwa indexed array. Tutaona aina nyengine hapo mbele.
Indexed array kila data hupewa nambari, kuanzia nambari 0. mfano
tunda la kwanza ni embe, hivyo nambari yake ni 0, tunda la pili ni tufaa, amabyo nambari yake ni moja, na tunda la tano ni nanasi ambalo nambari yake ni 4.
Hivyo tunapohitaji kwa mfano embe tunaenda kuliita kwa kutumia namba yake kama
kwa vile index ya embe ni 0.
mfano
matokeo yake ni
embe
ITAENEDELEA SEHEMU INAYOFUATA (PART THEE)
MAZOEZI (MAJIBU YATATOLEWA PART THREE). Andika jibu lako katika comment (reply)
Soma kodi zifuatazo kisha jibu maswali
1. Andika code za kuonesha "Said Juma Said";
2. Andika variable itakayohifadhi jina "juma", jina litoke kutoka katika array;
3. je tutapata nini tutakapoandika echo $students[5];
Code: Select all
$tunda1 = "embe";
$tunda2 = "tufaa";
$tunda3 = "pera";
$tunda4 = "chenza";
$tunda4 = "nanasi";
Code: Select all
$matunda= ["embe","tufaa","pera","chenza","nanasi"];
hii inatupa mpangilio mzuri wa kodi zetu, pia inarahisisha wakati wa kuita data kama ambavyo tutaona hapo baadae.
kuna njia mbili za kutengeneza array
ya kwanza, ambayo ni ya kisasa ni kama ambayo tumeitumia hapo juu.
Code: Select all
$arrayname = [data1,data2,data3,...];
Kuhusu matumizi ya tunapokuwa na maandishi, maandishi yanakuwa yanafungwa ndani ya double quotation " na ", ama hata quotation ya appostrophe inakubalika yaani ' na '. Nambari na kweli si kweli haziwekwi ndani ya alama hizo.
mfano
Code: Select all
$data = ["Police",112,'Fire', 113, true];
Njia nyengine tunayoweza kutumia kutengeneza array ni ya kizamani, na mfumo wake ni kama huu.
Code: Select all
$arrayname = array(data1, data2, data3,...);
KUSOMA TAARIFA ZA ARRAY
Aina ya array ambayo tumeisoma inaitwa indexed array. Tutaona aina nyengine hapo mbele.
Indexed array kila data hupewa nambari, kuanzia nambari 0. mfano
Code: Select all
$matunda= ["embe","tufaa","pera","chenza","nanasi"];
Hivyo tunapohitaji kwa mfano embe tunaenda kuliita kwa kutumia namba yake kama
Code: Select all
echo $matunda[0];
mfano
Code: Select all
<?php
$matunda= ["embe","tufaa","pera","chenza","nanasi"];
echo $matunda[0];
?>
embe
ITAENEDELEA SEHEMU INAYOFUATA (PART THEE)
MAZOEZI (MAJIBU YATATOLEWA PART THREE). Andika jibu lako katika comment (reply)
Soma kodi zifuatazo kisha jibu maswali
Code: Select all
<?php
$students = ["ali","mohammed","juma","ishaka","suleiman","mohd","joseph","salha","mariam","Said Juma Said"];
?>
1. Andika code za kuonesha "Said Juma Said";
2. Andika variable itakayohifadhi jina "juma", jina litoke kutoka katika array;
3. je tutapata nini tutakapoandika echo $students[5];