Page 1 of 1

Welcome to TSV

Posted: Mon Mar 23, 2026 11:03 am
by webmaster
Hapa, wanafunzi, developers, wajasiriamali na enthusiasts wa teknolojia kutoka Moyo Islamic Academy na International Open University (IOU) na sehemu nyingine, wanaweza:

Kujiunga na mazungumzo ya programming, AI, web development na tech innovations
Kushirikiana kwenye projects na ideas
Kupata resources, tutorials, na fursa za kazi au internships

Hii forum imeundwa ili kuunda community yenye msaada, ubunifu, na growth, ambapo kila mtu ana nafasi ya kujifunza na kushiriki.

Jitambulishe, weka post yako ya kwanza, na anza kushirikiana na jamii yetu ya tech! 🚀