TAARIFA RASMI KWA UMMA: UZINDUZI WA TOVUTI NA BARUA PEPE RASMI ZA TSV

Announcements (Matangazo) – taarifa rasmi kuhusu updates za forum
Introductions (Jitambulishe) – wanachama wajitambulishe
Rules & Guidelines – sheria za forum
Post Reply
User avatar
webmaster
Site Admin
Posts: 134
Joined: Mon Mar 23, 2026 11:03 am
Location: Pemba
Contact:

TAARIFA RASMI KWA UMMA: UZINDUZI WA TOVUTI NA BARUA PEPE RASMI ZA TSV

Post by webmaster »

Uongozi wa Moyo Islamic Academy (MIA) unautaarifu umma kuwa umezindua rasmi tovuti maalum kwa ajili ya kitengo cha TSV.
Kuanzia sasa, huduma, taarifa, na mawasiliano yote ya kiofisi yanayohusu TSV yatapatikana kupitia mifumo rasmi ifuatayo:
• Tovuti Rasmi: silicontz.org
• Barua Pepe (Emails): Wafanyakazi wote wanaohusika na TSV watatumia barua pepe rasmi zinazoishia na domain ya @silicontz.org (Mfano: jina@silicontz.org).

⚠️ Tahadhari Dhidi ya Utapeli

Tuna nasihi jamii na wadau wetu kuwa makini:
• Mawasiliano ya Kiofisi: MIA haitatambua barua pepe yoyote ya wafanyakazi wa TSV inayotoka kwenye akaunti binafsi za bure (kama vile @gmail.com, @yahoo.com, n.k.).
• Uthibitisho: Hakikisha kila unachoambiwa au maelekezo unayopewa yanatoka kwenye anuani yenye domain ya silicontz.org.
Tunamwomba kila mmoja azingatie mabadiliko haya ili kuepuka kuhadaika na matapeli mtandaoni.

Imetolewa na:
Uongozi, Moyo Islamic Academy (MIA).
📅 Oktoba 2026
Post Reply

Return to “General”

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 0 guests