1.Kwamba naweza kutengeneza mfumo uitwao 'backup power system' amabao waweza kutumia mfumo wa solar na umeme wa kawaida ,
Umeme ukizima tu solar itafanya kazi lkn uemem ukirudi tu solar itazima kupisha uememe wa kawaida kufanya kazi,
Kisha utaamua km mfumo ki delay ndio uingie mfumo mwengine
Back up power systems
-
sharif.makame
- Posts: 8
- Joined: Sun Apr 12, 2026 11:30 am
- Contact:
-
sharif.makame
- Posts: 8
- Joined: Sun Apr 12, 2026 11:30 am
- Contact:
Re: Automatic irrigation system
Mfumo huu unafanyakazi kumwagilia shambani mara mbili kwa siku utaamua km asbuhi imwage maji kwa mda wa nusu saa Kisha mfumo unazima Tena jioni unafanya kazi km Ivo na hauhitaji kuwashwa ni mtu
- webmaster
- Site Admin
- Posts: 124
- Joined: Mon Mar 23, 2026 11:03 am
- Location: Pemba
- Contact:
Re: Back up power systems
Jee tayari umeshaanza kuufanyia kazi ??
Na kama bado kikwazo ni nini kwa sasa ?
Na kama bado kikwazo ni nini kwa sasa ?
-
sharif.makame
- Posts: 8
- Joined: Sun Apr 12, 2026 11:30 am
- Contact:
Re: Back up power systems
Ndio, nlishawahi kufanya installation na ulikuwa vzr yaani unakidhi mahitaji .
Mfumo ni muhimu hususan kwa wale wenye kufuga kuku na wanaomili incubator za mayai ili mayai yawe salama mda wote, so ukiwa na mfumo huu unakiwa na uhakika wa umeme mda wootee
Lkn pia wenye kufuga samaki kwenye matenk, samaki wanakuwa na uhakika wa kupata oxygen mda woooteee

Who is online
Users browsing this forum: No registered users and 0 guests